YaraVita POWER BOOST
Mbolea ya kuzalishia, hutumika kunyunyizia kwenye majani katika mazao mbalimbali kama vile kahawa,parachichi,chai,miwa, mpunga na mazao yote ya jamii ya mbogamboga na matunda.
• Hutengeneza majani mengi na kwa haraka.
• Husaidia kutoa majani yenye afya ya kijani iliyokolea.
• Husaidia kutoa matunda makubwa yenye kufanana.
• Husaidia ongezeko la mavuno.
• Husaidia kurudisha majani katika umbile lake asilia,hivyo kuliongezea uwezo mkubwa wa kutengeneza chakula kingi na kuzaa zaidi. Kiwango cha matumizi:
• Kahawa: 1L/ekari wakati majani mapya yanapochipua, mara baada ya kuvuna na wakati wa matunda
• Chai: 400ml/ekari wakati wa kuchuma, rudia mara moja kwa mwenzi
• Parachichi: 800ml/ekari wakati majani mapya yanapochipua, inapokaribia kutoa maua na wakati wa matunda.
Beans: 400 ml/acre at the 4 to 6 leaf stage. Water rate: 100 l/acre. Maharagwe: Tumia Mililita 400 kwa ekari wakati mmea ukiwa na majani 4 hadi 6. Kiasi cha maji lita 100 kwa ekari.
Watermelon: Apply 400 ml/acre at preflowering. Water rate 100 l/acre. Tikiti Maji: Tumia Mililita 400 kwa ekari kabla ya mmea kutoa maua. Kiasi cha maji lita 100 kwa ekari.